CHOOSE TO ADVERTISE WITH US.....+255 713 883 797

CHOOSE TO ADVERTISE WITH US.....+255 713 883 797
YES!!! SEPTEMBER IS JUST HERE!!!...THE NEW TERM IS ABOUT TO BEGIN.....YOU ARE ENCOURAGED TO BRING YOUR CHILD BEFORE THE CLOSURE OF REGISTRATION!!!....HOTLINE +255 716 230441

......TANZANIA CHRISTIAN BLOGGERS WAANZA KWA MIKAKATI MIZITO YA KUUJENGA UFALME!!!

Mnamo tar 21/04/2012 majira ya saa tatu na nusu asubuhi katika kijiji cha ESAURP Survey,ndani ya ESTINA RESTAURANT ndipo ulipofanyika mkutano wa Christians bloggers ambao ulilenga kuwakutanisha watu wenye blog za kikristo!!

Zaidi ya blogers kumi walihudhuria na wachache wenye nia ya kuingia katika tasnia hii hivi karibuni
na mwingine aitwaye KIBASA alishiriki mkutano huo moja kwa moja toka nje kwa njia ya skype!
Mkutano ulianza kwa wajumbe kujitambulisha na baadae wajumbe mbalimbali kutoa michango yao ya mawazo
Alianza kuzungumza mkongwe,namaanisha blogger mwenye zaidi ya miaka kumi kwenye tasnia hii MR MBUTO!!
Baadaye pia Victor Nivox blogger wa Hossana Inc. alitoa mchango wake wa mawazo ambao ulilalia sana kwenye eneo ufundi zaidi!!
MUSSA mwanaharakati asiye na woga hata kidogo ambaye anaiendesha blog ya kisiasa na harakati za ukombozi wa mwanadamu alipata nafasi ya kuchangia maoni yake na kuonyesha dhamira yake ya dhati ya kuingia huku kwenye ulimwengu wa kikristo.
Nilibahatika pia kutoa mawazo yangu ndani ya kikao

na alifuata Prosper mwakitalima kabla ya kwenda kupata kifungua kinywa(breakfast) ambayo ilipendeza sana!
baadaye tukapata wasaha wa kupiga picha ya pamoja kwa ajili ya ukumbusho wa mwanzo wa safari hii ya kuujenga umoja,kama ilivyo ada kila jambo kwa wanahabari ni habari...so hata hapa zilipatikana habari kibao!!
Baada ya picha tulirejea kumalizia kikao chetu na tulibahatika kupata mwandishi wa TANZANIA DAIMA hivyo alibaki na Papaa kwa ajili ya short briefing ya kikao!
Kwa kweli mwanzo ni mzuri sana na kimsingi kuna mengi ya kufanya ila ukipenda kuendelea kuwasiliana na sisis basi unaweza kutembelea page yetu facebook kwa anuani hii ili ujue yanayojili zaidi!!!

*http://www.facebook.com/groups/372453386129099/*

Kwa ujumla mambo ambayo yalisisitizwa na wajumbe wote waliochangia kwa ujumla ni haya
1.Every blogger  must be educated and trained about what whatever s/he want to present including IT itself
2.Every blogger must have a specific identinty and not not just mixing every news that comes accross and moreover avoid talking much about religions and not genuine teachings/doctrines
3.Every blogger must be sure of whatever s/he post on his/her blog,must have have detailed information and advocation and moreover as far as the christianity base is concern every information must GLORIFY THE LORD AT THE END!!
4.Every blogger must invest in updating information in the blog timely and moreover sharing via different networks....it is very important for bloggers to outsource chances for different people to write in their blogs including other fellow bloggers.
5.Consider feedbacks and opinions from readers and work out on them
6.You need to consider gender,age and genereal public preferences in designings and posts
7.Excellency in working and creativity is highly needed in blogging

MY EXTRA OPINIONS
I have discovered that we have christian bloggers and christian blogs....i know in case of christian bloggers, there are plenty of them but our aim is building a platform for christian blogs and here i insist
1.We must remember that this is the ministry and blog is the altar of God if real want to save God!
2.We must be people of prayers and invest in knowing more about the kingdom
3.Every post in our blogs must be for the Glory of God and not creating fear among readers
For example YOU CAN FIND PEOPLE CONCENTRATING DISCUSSING MORE OF SATAN LIKE FREEMASONS OTHER THAN OF THE GOD'S KINGDOM!!

The gate is open for everybody who wishes to join this platform...come with new ideas and creativity!!
Blogging is not a joke,it need time and committment!

JAMBO AMBALO LIMEKUWA NI KWANZA KUFANYWA KAZI NI KUSAIDIA KUWAFAHAMISHA WANANCHI NA KUWASAIDIA KUHUSIKA KATIKA KUPATA WASANII BORA WA TUZO ZA AFRICA ZA NYIMBO ZA INJILI!!!