CHOOSE TO ADVERTISE WITH US.....+255 713 883 797

CHOOSE TO ADVERTISE WITH US.....+255 713 883 797
YES!!! SEPTEMBER IS JUST HERE!!!...THE NEW TERM IS ABOUT TO BEGIN.....YOU ARE ENCOURAGED TO BRING YOUR CHILD BEFORE THE CLOSURE OF REGISTRATION!!!....HOTLINE +255 716 230441

.....ACCEPT TO START ORDINARILY, BUT REMAIN FOCUSED TO YOUR FUTURE!!!!


OPT TO START FROM ZERO THEN ONE DAY YOU GONNA BE A HERO!!!

Hello friends,what's up?

I do hope you are doing well!

I have felt in my heart to share with you this very important IDEA!! And this is very important to all youth, young professionals and fresh from school experts and workers!!

If you get an employment post far from the city( i mean country side) with the company or organization that is operating almost the whole country and above...with a good title/starting profile even if with low salary, just take it rather than simple job with high salary in the city!

I say this because in remote areas/regions, you shall work there without pressure or stiff competition for many people never opt to go there; perhaps if you a Branch Assistant Manager obvious you can work as a manager when a manager is away....You can build experience which you wouldn't dare to have if you would have remained in Town as just a simple worker,you can buy assets and perhaps try to invest in agriculture, simply because life in regions is not that high as in towns..with such experience, working profile and good environment of learning the work, you can possibly and easily apply for the bigger post in city branches and may be headquarter whenever they air out opportunities....and actually you must be considered because you deserve it!! But in Town you work for more than 5 years without any promotion other than fearing to be fired any time!

It is very possible after two or five years to be the boss of your fellow professionals whom chooses to remain in Town after collage, when you opted to go in regions!

When you apply for job be very careful with the title no matter how much they want to pay you...for instance You start a job with a title Assistant Office Clerk be sure that it will take time for you to get accepted in any Managerial position in an organization...this is because you last experience hinder the trust of people over you...So you better start with big profile in a small enterprise/organization because with that CV you can work anywhere very accessibly.

N.B;
It is not my Idea that, you go to work in remote areas, so that you can be back in town, that is to say that, if environment allow you to invest and live where you are then that is great too...LIFE IS WHEREVER!!

So the choice is always yours...to start ordinarily in a place where no one have hope with you, but building base for future fame OR starting executive and remaining in that position for years!

WHEN YOU START WORKING, THE MOST IMPORTANT THING IS NOT SALARY, BUT WORKING EXPERIENCE AND BUILDING PROFILE; SO NEVER CHOOSE THE WORK BASING ON PACKAGE CRITERIA BUT A JOB WITH AMPLE ENVIRONMENT OF NATURING YOUR POTENTIAL!!!

......THIS IS JUST MY IDEA, YOU CAN APPLY IT OR COMPLY WITH IT!!!!
(C)Chavala


ZOOMING ZONE 0001....NA SAMWEL SASALI,THE BLOGGER!!!!


Salaam!!


Leo katika kipengele hiki natamani nimzungumzie kijana mmoja aitwayeSAMWEL SASALI a.k.a PAPAA SEBENE,THE BLOGGER


(Natural African Activist Tanzanian patriot short funny loving caring brother, very God loving servant!!!)


Huyu ni lango katika nyumba ya Mzee Sasali na kwa ushuhuda na ukiri wake mwenyewe,yeye ni zawadi ya Mungu kwa familia hiyo na sadaka ya mama yake kwa Mungu!


Amebahatika kusoma Tanzania,sifa ya pekee ya kusoma kwake ni kusoma huku akifanya vitempo wakati wa likizo au wakati akisubiri kwenda hatua nyingine na Shahada yake ya kwanza ameipatia Chuo kikuu cha Mzumbe-Morogoro na hii ni Shahada ya Usimamizi wa Rasilimali watu(Bachelor Degree of Human Resource Management)Amewahi kufanya kazi na halmashauri ya wilaya ya Ilala, Huwaei na sasa yuko na Benson Informatics Ltd kama HRM.


Samweli ni MC maarufu na anajimudu katika kazi yake, Preacher(Muhubiri/Mwalimu) wa neno la Mungu tangu kale, Thinker and Idea Developer

.........anafanya vitu vingi sana hapa mjini, na kilichofanya nimfahamu ni correllation ya mengi tunayofanya pamoja...nilikuwa namsikia tu but nilikutana nae face to face na kuzungumza nae mara ya kwanza mwaka 2007 pale MUFES kulikuwa na ibaada ya fundrising ya kununua vyombo vya muziki na yeye ndio alikuwa MC na mimi nilikuwa mgeni mualikwa tu.
...................................then urafiki na ukaribu ukaanza hapo hata leo na mpaka baadae sana!!


Samwel ni Blogger na anamiliki blog yake iitwayo
“samsasali.blogspot.com”
ambayo inafanya vema sana katika tasnia hii ya social medias, anapatikana pia facebook kwa saana na pia BBM Papaa ndio muanzilishi wa Mtandao wa marafiki uitwao MARAFIKI HURU....na mtandao huo baadae ukazaa maono mengine nayo ni mtoko wa marafiki wapendwa kila mwezi uitwao FRIENDS ON FRIDAY(FOF), ambao kwa sasa umeenea mpaka Mbeya,Arusha na kuna kila jitihada za kuanzisha Zanzibar


PAPAA amekuwa na experience nzuri sana ya publicity ya matukio mbalimbali hapa mjini,hivyo mafanikio ya matamasha au matukio kama LAUGH AGAIN CONCERTS; AFLEWO; CAMPUS NIGHTS; RIOTS; NA MENGINE MENGI yana mchango mkubwa sana wa huyu mkaka!.

Huyu kijana ni mzungumzaji mzuri(Motivational Speaker) na mwingi wa Idea kila kukicha, ana moyo wa kujitoa na kumsaidia kila afaaye kusaidiwa... zaidi ya yote huyu jamaa ni mwanaharakati wa kweli, maana akiamua kukomaa na issue huwa anajitosa tu hata kama inaonekana hatari mbeleni...alianza kufanya vibarua ili kujisomesha kabla haujaja huu mfumo wa mikopo ya serikali na amewahi kufanya utangazaji pale Praise Power na hivi sasa anajiandaa kuwa mbunge wa Mbinga!!
Namkubali sana,namuheshimu na najifunza vingi kutoka kwake!

Kila tukionana lazima nijichangamotishe kwa harakati zake, natamani sana vijana wa kitanzania tuuige mifano ya vijana wenzetu na hawa ndio wanapaswa kuwa Roll Model na sio hao wazungu na watu gani!!!


Ni bora niseme ukweli kwa yale yanipasayo kusema sasa,maana siku akifa haitafaa kitu kwake wala kwangu,itakuwa kama vile unatafuta kumfahamu!!


Siwezi kuandika hapa kila kitu but in summary, THE GUY IS MY HERO!!


“THINK DIFFERENTLY MAKE A DIFFERENCE”.....na huu ndio msemo wake wa moyo!!!


SISI NI MARAFIKI KWA HIYO TUNASAIDIANA, UKITAKA KUTHIBITISHA NJOO UMSEME VIBAYA KWANGU UONE KAMA UTAONDOKA MACHONI KWANGU SALAMA!!

NEVER HATE....APPRECIATE!!!!


+255-713-883 797(Andika kama una swali au maoni....unaweza tu ku-comment post hii kama ukiwa member wa blog hii,karibu sana)

(c)Zooming Zone'2012  
Haki zote zimehifadhiwa na Chavala,The King!!