Ninakila sababu ya Kumshukuru Mungu kwa siku ya leo kwa kuweza kunipa nafasi hii muhimu kuongea na Marafiki kwa njia hii ya Fasihi Andishi. Wakati Tukisubiri Matokeo Ya Uchaguzi Kenya Basi Ipo haja ya Kujifunza Kutoka kwa wenzetu katika Kile Wanacho Kifanya
Nimegundua Ukioa Mfanyakazi Wa Bank, story nyingi baada ya kutoka Kazini itakuwa issue za wateja mara sijui transaction imefanyaje, mara hakuja balance, Ukioa Mwanasheria jiandae kuwafahamu ma jaji na mawakili wa Tanzania, maana utasikia sijui Kesi Hii inasimamiwa na Jaji Manento huyu jamaa ni nouma, sema Wakili Peter Kibatala nae yuko fiti, Ukioa Mwalimu Jiandae Kufahamu Taasisi zote zinazotoa Mikopo Tanzania, Ukioa Daktari ama Nurse jiandae kupokea story za Wagonjwa, Operation, Uzazi na aina za dawa na magonjwa mapya kila siku.
Najua wengine ni kizazi cha dot com hapa hawajasoma methali wala hawajui tafsiri zake, lakini wengi pia Watoto wa Mahospitalini utajulia wapi mambo ya maneno kama Wakunga??Leo nataka tuongelee