HELLO GUYS!!
Ni marufuku kwa mtu yeyote yule mwenye akili timamu kufanya maamuzi
yeyote yale muhimu yanayobeba mstakhabali wa maisha yake kwa kigezo cha
"KUWAONEA HURUMA WENGINE KATIKA MAAMUZI YAO"
Kwa mfano;
Eti mtu
anakubali kuingia katika mahusiano kwasababu tu mtu huyo amekufuatilia
kwa muda mrefu,kwa hiyo unamuonea huruma mdada au mkaka wa watu.....hivi
wewe una huruma kuliko hata neno huruma lenyewe,aliyekwambia huruma ni kiunganishi nani?
AU
Eti mtu amepata kazi nzuri ambayo mahali pengine ambapo atalipwa zaidi
ya mara mbili ya alipo sasa na kazi ni uhakika,lakini mtu huyo anasita
na kubaki hapo,kwa madai ya kuwa mwajiri wake wa sasa atajisikia
vibaya,sasa wewe unaishi kumfanya ajisikie vizuri hali unateseka na
maisha yako?
AU
Mtu anakuomba umsaidie kitu,na wewe unajua kwa
hakika kitaharibu muda wako na labda na hadhi yako,lakini kwasababu
unamuonea huruma huyo anayekuomba basi unakubali,angalia usije
ukajitafutia laana,kuna mama mmoja aliwahi kumuokoa mwanae wa kiume ili
asife kwa kutembea nae baada ya kijana huyo kunywa dawa za kuongeza
nguvu za kiume huku akimngojea mpenzi wake na bahati(sijui mbaya au
nzuri) huyo mpenzi hakuja,na dawa hizo ukinywa usipotumika unaweza
kuondoka(hivi ndivyo ilivyo),na mama huyo aliwasihi dada zake wamsaidie
wakagoma ila yeye akaona ni bora amuokoe mwanae,sasa yaliyomkuta mama
yule ni kupata mimba ya mwanae na ili kuficha aibu alitaka kutoa na
katika kutoa sijui ilitokea defects gani mwilini basi akapalalaizi na
kazi akaacha na maisha yote yakasimama na kubaki majonzi,sasa sijui huyu
mama tunamsemeaje lakini hata sasa kijana alishakimbia kuficha aibu na
mama ndio huyo anateseka kitandani!
SASA SIO KWA MIFANO HIYO TU BALI
NA MINGINE MINGI,TAFADHALI USIFANYE MAAMUZI YA MUHIMU KATIKA MAISHA
YAKO KWA KUJIONEA AU KUWAONEA HURUMA WATU WENGINE...BE REAL AND BE
YOURSELF!!!
Ni marufuku kujaribu kufanya ujinga huu......kama na wewe umenielewa sema kwa nguvu.......NI MARUFUKU KABISA!!!!