Shalom!!!
NINAYO HESHIMA KUBWA SANA KUWASLIMIA WAZAZI WANGU WAPENDWA MR.ERASTO
& MRS.OLIVER CHAVALA,NA ZAIDI KUWASHUKURU KWA MALEZI YOTE MPAKA HAPA
NILIPO LEO.....KWA HAKIKA NINAWAPENDA SANA!!
Ninawasalimia ndugu jamaa na marafiki na washika dau wote wa Stand Up Comedy na King Chavala kote duniani!
Kila tarehe 23/05 ya kila mwaka,huwa ni siku ya muhimu sana maishani
mwangu kwasababu ndio siku ambayo mshale wa mwaka hufika ZERO na kuanza
upya tena,ni siku ambayo nilikuja ulimwenguni humu kuanza kazi
iliyonileta,ndio siku inayoongeza umri wangu na kupunguza muda wangu
uliobaki hapa duniani,ndio siku ya kumshukuru Mungu sana na wazazi kwa
malezi bora na utunzaji wa zawadi hii muhimu!
TANGU SASA NA KUENDELEA TAREHE HII ITAKUWA SIKU YA U-SMART/USAFI
DUNIANI,sasa kama zote huwa mnaita kutokana na majina ya waazinilishi
basi hii itaitwa "CHAVALA DAY......Siku ya usafi duniani"
Labda natania kwasababu mimi ni comedian lakini namaanisha in term of future expectation!!
SIKU HII NI NZURI MNO,NAMI NIMEPANGA KUSHEREKEA NA MARAFIKI
MBALIMBALI....Kwanza siku hiyo hiyo au siku nyingine kwa niaba ya
hiyo(maana hiyo ni siku ya kazi); Nitakwenda kuwaslimia Watoto Wa
Mungu(Yatima) na kutumia siku yangu nzima pamoja nao,lakini usiku wa Tar
23 hiyo nitakuwa CBE-TAFES FAMILY,PALE A.17,pamoja na wanafamilia
tukisherekea pamoja na kujikumbushia enzi hizo za uanafunzi.
Na siku ya jmosi 25/05/2013 tutakuwa na safari ya kwenda Bagamoyo kwa
ajili ya kujifunza na kutalii,basi kama wewe umezaliwa mwezi May au
ungependa tu kwenda na sisi basi wasiliana nasi kwa haraka........safari
ya kwenda na kurudi kwa 15,000/= tu....NA SAFARI HII TUTAAMBATANA NA
WANAFUNZI WA CHUO CHA AFYA,HKMU-MIKOCHENI
Ahsante wote kwa kuendelea kuwa na imani na mimi,ahsanteni wote
msiochoka kuniombea,kunichangia michango ya aina zote,ya hali na
mali,AHSANTENI SANA MARAFIKI,KAKA NA DADA ZANGU,KILA MMOJA ALIYESHIRIKI
KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE KUYAFANYA MAISHA YANGU YAFIKE HAPA NILIPO NA
APOKEE SANA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI!!
MUNGU AMENIPA UPENDELEO WA UHAI NA UZIMA TELE,VIPAJI LUKUKI NA ZAWADI A
KIROHO NYINGI,NAJUA ANAYO MAKUSUDI NA MIMI,OLE WANGU KAMA SITAFANYA KAMA
VILE MUNGU ANITAKAVYO NIFANYE!
Maisha yangu ni kwasababu ya Mungu,ninaishi na Mungu na ni kwa ajili ya Mungu.....basi Mungu wangu na awabarikini nyote!!
HAPPY BIRTHDAY DEAR MIMI!!!
King Chavala-MC
+255 713 883 797