Christina Shusho anatwaa Tuzo ya Pili kubwa baada ya Mwanzoni mwa Mwezi July Kutwaa Tuzo nchini Kenya kwenye Tuzo za Groove Awards zinazofanyika nchini humo, na katika Tuzo za Africa Gospel Music Awards Shusho alikuwa akishindanishwa na Wanamuziki 6 Kutoka Kenya, Wawili Kutoka Uganda na Mmoja Kutoka Tanzania yaani Martha Mwaipaja.
Katika Usiku wa tarehe 7 July, 2013 wakati Shusho akitangazwa kwenda Kuchukua Tuzo hiyo hakuwepo nchini Uingereza bali Blogger Maarufu Tanzania mwenye Kumiliki Blog ya Gospel Kitaa Ambene Michael aliyeko nchini Uingereza aliwakilisha vema upokeaji wa Tuzo hiyo ya Shusho
Kushoto ni Blogger Ambene Michael aliyepokea Tuzo Kwa Niaba ya Shusho Nchini Uingereza
Viva Shusho Viva Tanzania.