Natumai wasomaji wangu wote mko poa!
Leo natamani niwaonyeni watumiaji wote wa mitandao ya kijamii hususani facebook,Google+ na emails, kuna watu mashuhuri duniani wanaitwa HACKERS, hawa wanaweza kukutumia email kana kwamba wao ndio operators wa hiyo site ambayo wewe una email yako,na wanaweza kudai kutaka kufanya mabadiliko na hivyo wakaomba majina,umri pamoja na password na hapo ukiwapa wanaingia kwa account yako na kuitumia vibaya labda kuomba msaada wa kifedha kwa watu kwenye account yako then wewe huwezi kufungua tena!
PILI kuna hawa wanaitwa CYBER THIEVES hawa wanatumia njia ya kuwatumia watu eti wameshinda bahati nasibu,basi watakuomba details zako na ukiingia tu mkenge basi umeliwa,pia katika kundi hili wapo wengine hujifanya wana deal za muhimu hivyo huomba urafiki na hata kukupigia simu na hapo watakuja na hadithi za eti kuna fedha benki na mrithi kafariki so wanataka uwe wewe,hapo usipokuwa makini watakuwa wanakuibia taratibu...mimi Chavala niwewahi kuibiwa karibuni $4000 mwaka 2006 ndani ya kipindi cha miezi kama sita hivi,maana niliaminmi kuna deal kweli,nikawa natuma pesa tena wanakupa document nyingine nikatuma tena na tena na tena na baadae wakapotea na hapo ndio nikawa niimeibiwa mazima...haikuwa kazi rahisi maana nilikaribia kuchanganyikiwa,but sasa ninawajua hivyo nakuonyeni usijaribu kujisumbua ...HAKUNAGA PESA YA RAHISI KIASI HICHO POPOTE!!
Na kipindi cha karibuni wapo kwenye mitandao ya kijamii hususani facebook,ni wanaume wanacreate accounts na kuomba urafiki na hata kama sio rafiki basi wanakutumia inbox na kuomba ukaribu na wewe kwa account nyinginezo wanazokupatia,na ukirogwa tu kuanza kuwasiliana watakuvuta mpaka watakuibia,maana wanajua watu wengi wanawaamini sana wasichana na kupenda ngono za reja reja!!
HAPA CHINI NAKUPA MIFANO HALISI YA MAIL HIZO,NA HIZI ZIMETUMWA KWANGU!!!
************************************
Griscilla Andrew
Hello
My name is Miss Gabriella,i saw your profile today and after going through it, i fill more interest to contact you ,i will like you to please send me an email at my email address
via (gabriellaandrew20@yahoo.com) for me to send you my pics and to tell you more about me. wait for your replied thanks.
******************************
Vivian Jones Vivian
Hello Dear
It really is a pleasure to come along your profile, and I Miss Vivian by name, a nice looking young girl in search of friend.This is why I decided to contact you on this site, so we can be friends and also get to know each other. Age, race and religion is never a problem for me, and the only thing that matters is true love. Please contact me at my private email (joness.vivian @ yahoo.co.uk) for ease of communication, and so I will give you my pictures and more details about me, I still hope for your reply, have a nice day, write me on my email address.
Your new friend Vivian
******************************
Sliverline Williams
Hello Dear ..,
How are you?
My name is Sliverline. I am a female and I would like to add you as my friend and to establish a long lasting relationship with you.You are free to email me back via my email address.; sliver_lineon@ymail.com ;please If you are interested in knowing more about me OK? so I can send you my picture and tell you more about me. I'll be waiting to hear from you with love,
Yours lovely,
Sliverline.
kiss____¶¶¶¶¶__AM___¶¶¶¶¶ IN
_____¶¶■Ž¶¶¶¶¶Ž■Ž¶¶¶¶¶■Ž¶¶-
____¶¶■Ž█████Ž¶Ž████Ž- ¶¶
___¶¶■Ž███████Ž█████- Ž■ ¶¶
___¶¶■Ž████████████- Ž■ ¶¶
____¶¶■Ž███████████Ž- ¶¶
_____¶¶■Ž█████████Ž■ ¶¶
_______¶¶■Ž██████Ž■ ¶¶
_________¶¶■Ž███Ž■ ¶¶ LOVE
__________¶¶■Ž`█Ž■ ¶¶
___________¶¶¶¶¶¶¶¶
******************************
Alice Koly
I saw your profile i pick interest on it and if U don't mind i will like you to write me on this mail ID( alice_koly@ yahoo. com ) am waiting to read from you,because i have something VERY VERY important and urgent to tell you In my reply i will send U more of my beautiful picture
Please try write me direct to my email address so that i can be able to responds back to you OR you can give me your own Email so that i will replied you direct to your Email ID you give me my e-mail ( alice_koly @ yahoo.com )
******************************
Peaceful Peace
My dear,
Thanks for your reply, Please i have very important issue to discuss with you, But i want you to write me later through my private email( peacetagro@ hotmail.com ) It's important,so through email is the possible way for me to communicate with you.
******************************
Nnice Chansa
Hello,its my pleasure to contact you,after going through your profile,i am looking for a honest person,and i think i have found you, you can get me back through my email (annicegabriel@live.com) as soon as possible ,so that i will tell you better about my self and also send to you picture,please do not reply me here in this site,just write to my email ok.
(annicegabriel@live.com)
JIHADHARINI SANA JAMANI MSIJE MKASEMA HAMKUONYWA!!!
KWA LEO NI HAYO TU!!
kING cHAVALA
+255 713 883 797