CHOOSE TO ADVERTISE WITH US.....+255 713 883 797

CHOOSE TO ADVERTISE WITH US.....+255 713 883 797
YES!!! SEPTEMBER IS JUST HERE!!!...THE NEW TERM IS ABOUT TO BEGIN.....YOU ARE ENCOURAGED TO BRING YOUR CHILD BEFORE THE CLOSURE OF REGISTRATION!!!....HOTLINE +255 716 230441

Blogger Ambwene Mwamwaja Afafanua Gospel Kitaa Blog Inavyokusanya HabariMtangazaji wa WAPO Radio na Mmiliki wa Blog Ya Gospel Kitaa, amefunguka na kueleza kuwa ana network Kubwa ya watu wanaompa habari karibu nchi nzima na Kuweza kuziratibu akiwa Nchini Uingereza. Blogger huyo maarufu Ambwene Michael Mwamwaja alieleza kuwa mbali na kupata taarifa hizo pia huzifanyia uthibitisho wa habari kabla hajazituma katika Blog.

Blogger huyo maarufu ambaye kwa sasa anaishi Nchini Uingereza yuko nchini kwa mapumziko mafupi ambapo alieleza kwa kina namna ambavyos aliweza iwakilisha Tanzania katika Tuzo za Africa Gospel Music Awards ambapo Mwanamuziki wa Injili Kutoka Tanzania Christina Shusho aliwakilisha Vema nchi ya Tanzania.

Mwamwaja ni Mmiliki wa blog ya www.gospelkitaa.blogspot.com aliyasema hayo alipokuwa akihojiwa na Kipindi nambari one cha Gospel Tanzania "Chomoza".