http://africagospelawards.com/nominate.html
Christina Shusho ni mwanamuziki pekee wa nyimbo za
Injili nchini Tanzania anayewania Tuzo za Muziki wa injili barani
afrika katika kategori mbili, Mwanamuziko bora wa injili Afrika
Mashariki na mwanamuziki Bora wa Kike wa Injili Barani Afrika.Ili
Kumpigia kura BONYEZA(CLICK)hiyo link chini ya picha ya Shusho hapo juu na fuata
maelekezo.VIVA SHUSHO VIVA TANZANIA