CHOOSE TO ADVERTISE WITH US.....+255 713 883 797

CHOOSE TO ADVERTISE WITH US.....+255 713 883 797
YES!!! SEPTEMBER IS JUST HERE!!!...THE NEW TERM IS ABOUT TO BEGIN.....YOU ARE ENCOURAGED TO BRING YOUR CHILD BEFORE THE CLOSURE OF REGISTRATION!!!....HOTLINE +255 716 230441

SARAH SHILLA NA IDEA YAKE YA KUZINDUA ALBUM YAKE TANZANIA KABLA YA KURUDI INDIA!!!!

BILA SHAKA DADA HUYU SI MGENI KABISA MACHONI KWAKO!!
KIPAJI CHAKE KINAKUWA SIKU HADI SIKU NA SASA ATAKUWA ANAFANYA UZINDUZI WA ALBUM YAKE IITWAYO "LET IT RAIN IN HIS PRESENCE"
NI NDANI YA UKUMBI WA BANORA, OPP. NA MLIMANI CITY APPARTMENTS NA ITAKUWA KUANZIA SAA NANE MCHANA HATA KUMI NA MBILI JIONI JPILI YA TAR.5TH AUGUST 2012 KWA KIINGILIO CHA 5000/=

......STAY TUNED KWA HABARI ZAIDI!!!!!