Salaam!!
Leo katika kipengele hiki natamani nimzungumzie kijana mmoja
aitwaye
SAMWEL SASALI a.k.a PAPAA SEBENE,THE BLOGGER
(Natural African Activist Tanzanian patriot short
funny loving caring brother, very God loving servant!!!)
Huyu ni lango katika nyumba ya Mzee Sasali na kwa ushuhuda
na ukiri wake mwenyewe,yeye ni zawadi ya Mungu kwa familia hiyo na sadaka ya
mama yake kwa Mungu!
Amebahatika kusoma Tanzania,sifa ya pekee ya kusoma kwake ni
kusoma huku akifanya vitempo wakati wa likizo au wakati akisubiri kwenda hatua
nyingine na Shahada yake ya kwanza ameipatia Chuo kikuu cha Mzumbe-Morogoro na
hii ni Shahada ya Usimamizi wa Rasilimali watu(Bachelor Degree of Human
Resource Management)
Amewahi kufanya kazi na halmashauri ya wilaya ya Ilala,
Huwaei na sasa yuko na Benson Informatics Ltd kama HRM.
Samweli ni MC maarufu na anajimudu katika kazi yake,
Preacher(Muhubiri/Mwalimu) wa neno la Mungu tangu kale, Thinker and Idea Developer
.........anafanya vitu vingi sana hapa mjini, na kilichofanya nimfahamu ni correllation ya mengi tunayofanya pamoja...nilikuwa namsikia tu but nilikutana nae face to face na kuzungumza nae mara ya kwanza mwaka 2007 pale MUFES kulikuwa na ibaada ya fundrising ya kununua vyombo vya muziki na yeye ndio alikuwa MC na mimi nilikuwa mgeni mualikwa tu.
...................................then urafiki na ukaribu ukaanza hapo hata leo na mpaka baadae sana!!
.........anafanya vitu vingi sana hapa mjini, na kilichofanya nimfahamu ni correllation ya mengi tunayofanya pamoja...nilikuwa namsikia tu but nilikutana nae face to face na kuzungumza nae mara ya kwanza mwaka 2007 pale MUFES kulikuwa na ibaada ya fundrising ya kununua vyombo vya muziki na yeye ndio alikuwa MC na mimi nilikuwa mgeni mualikwa tu.
...................................then urafiki na ukaribu ukaanza hapo hata leo na mpaka baadae sana!!
Samwel ni Blogger na anamiliki blog yake iitwayo
“samsasali.blogspot.com”
ambayo inafanya vema sana katika tasnia hii ya social
medias, anapatikana pia facebook kwa saana na pia BBM
Papaa ndio muanzilishi wa Mtandao wa marafiki uitwao
MARAFIKI HURU....na mtandao huo baadae ukazaa maono mengine nayo ni mtoko wa
marafiki wapendwa kila mwezi uitwao FRIENDS ON FRIDAY(FOF), ambao kwa sasa
umeenea mpaka Mbeya,Arusha na kuna kila jitihada za kuanzisha Zanzibar
PAPAA amekuwa na experience nzuri sana ya publicity ya
matukio mbalimbali hapa mjini,hivyo mafanikio ya matamasha au matukio kama
LAUGH AGAIN CONCERTS; AFLEWO; CAMPUS NIGHTS; RIOTS; NA MENGINE MENGI yana
mchango mkubwa sana wa huyu mkaka!.
Huyu kijana ni mzungumzaji mzuri(Motivational Speaker) na
mwingi wa Idea kila kukicha, ana moyo wa kujitoa na kumsaidia kila afaaye
kusaidiwa... zaidi ya yote huyu jamaa ni mwanaharakati wa kweli, maana akiamua
kukomaa na issue huwa anajitosa tu hata kama inaonekana hatari mbeleni...alianza
kufanya vibarua ili kujisomesha kabla haujaja huu mfumo wa mikopo ya serikali
na amewahi kufanya utangazaji pale Praise Power na hivi sasa anajiandaa kuwa
mbunge wa Mbinga!!
Namkubali sana,namuheshimu na najifunza vingi kutoka kwake!
Kila tukionana lazima nijichangamotishe kwa harakati zake,
natamani sana vijana wa kitanzania tuuige mifano ya vijana wenzetu na hawa ndio
wanapaswa kuwa Roll Model na sio hao wazungu na watu gani!!!
Ni bora niseme ukweli kwa yale yanipasayo kusema sasa,maana
siku akifa haitafaa kitu kwake wala kwangu,itakuwa kama vile unatafuta
kumfahamu!!
Siwezi kuandika hapa kila kitu but in summary, THE GUY IS MY
HERO!!
“THINK DIFFERENTLY MAKE A DIFFERENCE”.....na huu ndio msemo wake
wa moyo!!!
SISI NI MARAFIKI KWA HIYO TUNASAIDIANA, UKITAKA KUTHIBITISHA
NJOO UMSEME VIBAYA KWANGU UONE KAMA UTAONDOKA MACHONI KWANGU SALAMA!!
NEVER HATE....APPRECIATE!!!!
+255-713-883 797(Andika kama una swali au maoni....unaweza tu ku-comment post hii kama ukiwa member wa blog hii,karibu sana)
(c)Zooming Zone'2012
Haki zote zimehifadhiwa na Chavala,The King!!