Leo katika kipengele hiki naomba nimzoom kwa karibu zaidi kijana mmoja aitwaye Deo Meck, Mwana Technohama mwenye wito wa Siasa!!!
(Deo Meck)
Leo katika lezi yangu naomba nimzoom kijana mmoja ambaye jina lake limevuma sana ingawa wengi hawamjui kwa sura!!
Huyu kaka ni kijana wa pekee mchakarikaji, ambaye hufanya mambo yake mengi kwa principles(hata kama nyingine zinamfaa peke yake),
Ni kijana wa Kikurya aliyekulia Tarime na kusoma shule ya msingi Nyamisangura iliyoko tarime na hatimaye Shule ya Ufundi Musoma kabla ya kuja Dar es salaam(Benjamin High school) na hatimaye
kwenda Kampala University,Uganda ambako amesomea Shahada ya Sayansi ya kompyuta na Teknolojia ya habari,
huko aliwahi kuwa waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi ingawa
alikuwa ugenini na alianzisha project ya kuuenzi utamaduni wa mwafrica
ambayo hata sasa inaendelea, aliporejea tu nchini cha kwanza alijitosa
kugombea ubunge kupitia CHADEMA kule Tarime baada ya kifo cha Chacha
Wange lakini baadae akaridhia kumuachia na kumsaidia Mwera hata
akashinda, na hata akapata bahati ya kuwa msaidizi wa mwenyekiti wa
Taifa wa chama hicho..
ana malengo ya mbali sana na naamini siku moja
atakuwa kiongozi wetu...
.ameshafanya kazi na Vodacom,
Platinum na sasa
anaendesha kampuni yake iitwayo OLYMPUS COMPUTERS,
<www.olympus-computers.com>
Ana uzalendo wa kweli,
Anapenda maadili, thinker,Polite na anampenda Mungu kweli!!
(Deo Meck na Prosper Mwakitalima-Arusha)
N.B; Ameandika kitabu kiitwacho CHACHA ZAKAYO WANGWE!!!
(akijaribu kuelezea maisha ya mpambananaji huyo ambaye kifo chake kilighubikwa na utata na hata leo watu wana hasira nafsini mwao)
(Deo Meck akiwa na Jack, Aron, Belinda, Doreen na Richard Chidundo baada ya LACS VI)
Nimebahatika kufanya nae kazi kadhaa, na huyu ndio alikuwa mbele sana kunitia moyo wakati naanzisha project ya LAUGH AGAIN CONCERT SERIES(LACS), tamasha la kwanza kabisa, na zaidi alikuwa Event manager wa Episode IV na alikuwa mzungumzaji(Speaker) katika event ambayo niliandaa Arusha ambayo iliitwa "WHAT NEXT AFTER COLLEGE?"
THIS BROTHER TALK SENSE NA KWA WALE WALIOWAHI KUMSIKIA WATAKUBALIANA NAMI KUWA HUYU NI KIJANA WA KUIGWA, WE REAL NEED THIS BROTHER KWA MUSTAKABALI WA NCHI HII
From my heart i love this brother and real admire Him, we are friends and dare not to touch us kwa ubaya for your sake!
Huyu ni mfano wa kuigwa na natumai atafika mbali na kusaidia wengi!!!
(Deo Meck akiwa ofisini kwake)
KWA HUDUMA ZA KAMPUNI YAKE AMA KAZI ZA KOMPUTA NA KWA MAWASILIANO ZAIDI UNAWEZA KUMPATA KUPITIA
+255 753 481628
+255 715 481 628
**********************************************
NEVER HATE....APPRECIATE!!!!
**********************************************
+255-713-883 797/lacs.project@gmail.com
(Andika kama una swali au maoni....unaweza tu ku-comment post hii kama ukiwa member wa blog hii,karibu sana)
(Andika kama una swali au maoni....unaweza tu ku-comment post hii kama ukiwa member wa blog hii,karibu sana)
(c)Zooming Zone'2012
Haki zote zimehifadhiwa na Chavala,The King!!