Kwa mara ya kwanza Blogger na .CEO..Amani Paul amefanikiwa kuingia kwenye fainal za "Tanzania Annual Young Professional Awards"katika kipengele cha "CAPTAIN OF THE INDUSTRY" ambapo vigezo vilivyoangaliwa ni pamoja na
Excellent in taking initiatives Done at least 1 project Provide purpose of project, provide project outcomes to the organisation and community kwa maelezo zaidi gonga hapa mdau wangu http://taypa.co.tz/?get=category
Bwana Amani Paul amefika hatua hii kutokana na kuanzisha tamasha la kila mwaka la utamaduni(Haydom Cultural Festival) lenye lengo siyo kukuza utali wa Utamaduni nchini bali pia kufungua fursa kwa wananchi hasa waliopo vijijini kufaidika kiuchumi na kijamii pia.
Akiwa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu akiwa ameshika gazeti la Ohayoda.
Pia,kutokana na jitihada za kuanzisha gazeti la Ohayoda (ambalo sasa litaitwa Mwanajamii)gazeti la kwanza kabisa katika mkoa wa Manyara na linaloandika habari za kijamii hususani za vijijini.
Kutokana na hayo yote Amani Paul anaomba kura yako ili aweze kushinda tuzo hiyo kwa kutuma ujumbe mfupi wa maneno C1 kwenda 15678.Washiriki wamegawanywa katika vipengele 3 na kila kipengele kina washiriki 3.C1 ndiyo namba yake ya ushiriki.
Mshindi atatangazwa mwishoni mwa mwezi Februari 2014...Kwa habari zaidi soma gazeti la The Guardian hapa http://www.ippmedia.com/frontend/index.php?I=63975
TAKEN FROM UNCLE JIMMY TEMU!!