CHOOSE TO ADVERTISE WITH US.....+255 713 883 797

CHOOSE TO ADVERTISE WITH US.....+255 713 883 797
YES!!! SEPTEMBER IS JUST HERE!!!...THE NEW TERM IS ABOUT TO BEGIN.....YOU ARE ENCOURAGED TO BRING YOUR CHILD BEFORE THE CLOSURE OF REGISTRATION!!!....HOTLINE +255 716 230441

#.....NI MARUFUKU KABISAAAAAA!!#(01).....Kufanya Maamuzi kwasababu ya kumhurumia mwingine!!!!

HELLO GUYS!!
Ni marufuku kwa mtu yeyote yule mwenye akili timamu kufanya maamuzi yeyote yale muhimu yanayobeba mstakhabali wa maisha yake kwa kigezo cha "KUWAONEA HURUMA WENGINE KATIKA MAAMUZI YAO"


Kwa mfano;
Eti mtu anakubali kuingia katika mahusiano kwasababu tu mtu huyo amekufuatilia kwa muda mrefu,kwa hiyo unamuonea huruma mdada au mkaka wa watu.....hivi wewe una huruma kuliko hata neno huruma lenyewe,aliyekwambia huruma ni kiunganishi nani?
AU
Eti mtu amepata kazi nzuri ambayo mahali pengine ambapo atalipwa zaidi ya mara mbili ya alipo sasa na kazi ni uhakika,lakini mtu huyo anasita na kubaki hapo,kwa madai ya kuwa mwajiri wake wa sasa atajisikia vibaya,sasa wewe unaishi kumfanya ajisikie vizuri hali unateseka na maisha yako?
AU
Mtu anakuomba umsaidie kitu,na wewe unajua kwa hakika kitaharibu muda wako na labda na hadhi yako,lakini kwasababu unamuonea huruma huyo anayekuomba basi unakubali,angalia usije ukajitafutia laana,kuna mama mmoja aliwahi kumuokoa mwanae wa kiume ili asife kwa kutembea nae baada ya kijana huyo kunywa dawa za kuongeza nguvu za kiume huku akimngojea mpenzi wake na bahati(sijui mbaya au nzuri) huyo mpenzi hakuja,na dawa hizo ukinywa usipotumika unaweza kuondoka(hivi ndivyo ilivyo),na mama huyo aliwasihi dada zake wamsaidie wakagoma ila yeye akaona ni bora amuokoe mwanae,sasa yaliyomkuta mama yule ni kupata mimba ya mwanae na ili kuficha aibu alitaka kutoa na katika kutoa sijui ilitokea defects gani mwilini basi akapalalaizi na kazi akaacha na maisha yote yakasimama na kubaki majonzi,sasa sijui huyu mama tunamsemeaje lakini hata sasa kijana alishakimbia kuficha aibu na mama ndio huyo anateseka kitandani!
SASA SIO KWA MIFANO HIYO TU BALI NA MINGINE MINGI,TAFADHALI USIFANYE MAAMUZI YA MUHIMU KATIKA MAISHA YAKO KWA KUJIONEA AU KUWAONEA HURUMA WATU WENGINE...BE REAL AND BE YOURSELF!!!
Ni marufuku kujaribu kufanya ujinga huu......kama na wewe umenielewa sema kwa nguvu.......NI MARUFUKU KABISA!!!!